SANAA NA MWANAMKE
CDEA kwa msaada wa Ubalozi wa Kifalme wa Norway jijini Dar es Salaam inaandaa msimu wake wa 4 wa Jukwaa la Jinsia La BINTI LONGA mwezi Disemba 2023.
Jukwaa hili salama linalenga kuchunguza fursa, changamoto, haki na wajibu tofauti wa wanawake katika jamii. Lengo letu kuu msimu huu litakuwa kwa Wanawake katika Sekta ya Sanaa nchini Tanzania katika kubainisha:
1.Hali ya wanawake katika Sekta ya Sanaa nchini Tanzania.
2.Fursa zilizopo kwa wanawake katika sekta ya sanaa na ukuaji wa uchumi wa kidijitali
3.Changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya Sanaa katika zama za sasa.
4.Haki za wanawake katika sanaa, sera na mazingira ya kisheria
This survey has ended and is no longer accepting responses.